Watafiti kutoka mataifa 55 ulimwenguni wamekutana jijiji Arusha kujadili ulinzi na usalama wa vimelea lengo likiwa ni kulinda afya za viumbe hai.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge na Uratibu) Ummy Nderiananga amefungua mkutano wa Kimataifa na Kongamano la Kitaaluma (Global Biosafety Conference) msingi mkuu ukiwa ni kuwalinda watumishi wanaofanya kazi katika sekta ya Afya, Wanyama, maabara na kwenye viwanda.

Leave a Reply