Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe amesema kuwa mchezaji wao Kouassi Yao amefanyiwa upasuaji kwenye ...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limethibitisha kusogeza mbele michuano ya CHAN 2024 hadi Agosti 2025 ambapo ...

Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) limeifungia klabu ya Simba kucheza mechi moja ya CAF bila mashabiki na kulipa ...

Aliyekuwa kocha mkuu wa Cameroon, Rigobert Song ameteuliwa kuwa meneja mpya wa timu ya taifa ya Jamhuri ya ...

Nahodha wa timu ya Taifa ya Colombia, James Rodriguez (33) amejiunga na Klabu ya Liga MX ya Mexico, ...

Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca amesema kuwa mchezaji wake, Christopher Nkunku hajasema kama anataka kuondoka ndani ya Chelsea ...

Chelsea wamekuwa wakitafuta wachezaji vijana wenye uwezo na Mathys Tel, mshambuliaji wa Bayern Munich, anaonekana kuwa mchezaji anayevutia ...

Manchester City imefikia makubaliano na klabu ya Lens kwa usajili wa beki Abdukodir Khusanov kwa ada ya pauni ...

Kwa mujibu wa taarifa ya klabu ya Yanga, mchezaji Chadrack Boka aliutumikia mchezo muhimu wa Jana wa Ligi ...

Baada ya Simba Sc kupata sare ya mabao 1-1 dhidi ya Bravos ya Angola ni rasmi kuwa wametinga ...