Lori lenye namba za usajili T 576 CAK likiwa na tela namba T 121 CAY lililobeba shehena ya mbolea limefeli mfumo wa breki kwenye mteremko wa Mbembel, Nzovwe hadi Iyunga na kugonga magari mengine madogo yakiwemo mabasi madogo mawili ya abiria na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kujeruhiwa.
Ofisa Oparesheni wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Mbeya Gervas Fungamali amesema kwenye ajali hiyo wametoa mwili wa mtu mmoja na kuokoa majeruhi kadhaa ambao idadi yao wataitoa hapo baadaye.
Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa Taarifa zaidi


Leave a Reply