Mtoto wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Abbas Ali Mwinyi amefariki dunia leo Septemba 25, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharib Lumumba Zanzibar
Abbas ambaye ni Kaka wa Rais wa sasa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi alikuwa amelazwa katika hospitali hiyo akiendelea na matibabu.
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za Mazishi zitakujia, Endelea kufuatilia kurasa zetu @WasafiFM
Mtoto wa Hayati Mwinyi ‘Abbas’ Afariki Dunia

Leave a Reply