Padri a jimbo katoloki la Mafinga aliyefahamika kwa jina la Jordan Kibiki ambaye alidaiwa kusambaza taarifa kupitia mtandao wa WhatsApp kuwa ametekwa na watu walio na Bastola ambao walikuwa wakimpeleka Mbeya anadaiwa kukutwa eneo la Mbalizi mkoani Mbeya.
Taarifa ya kupatikana kwake imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa SACP Allan Bukumbi septemba 24, 2025 wakati akizungumza na vyombo vya Habari ofisi kwake.
Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda Bukumbi anasema uchunguzi umebaini Padre huyo anakabiliwa na madeni makubwa baada ya kukopa fedha kutoka kwa watu mbalimbali na kushindwa kuzirudisha.
Padri aliyedaiwa kutekwa apatikana Mbeya ‘Alijiteka’

Leave a Reply