Unakumbuka Tukio La Rapa Cardi B Kumpiga Shabiki Na Mic
Katika Tamasha Moja Huko Jijini Las Vegas 2023? Sasa Shabiki Huyo Amefungulia Kesi Rapa Huyo Akidai Kwamba Kuumizwa Vibaya.
Inaripotiwa Kuwa Cardi B Aliomba Mashabiki Wammwagie Maji Kwasababu Kulikuwa Na Joto Kali, Lakini Shabiki Huyo Alimmwagia Pombe Rapa Huyo, Ndipo Alipomponda Na Microphone na kumuumiza Vibaya.
Kesi Hii iliyofunguliwa Na Mwanamke Ambaye Hajawekwa Wazi Jina Lake, Inajumuisha Madai Ya; Shambulio La Kimwili, Kupiga Mtu Kimwili Pamoja Na Uzembe.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.