Dodoma, 10 Machi 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo jijini Dodoma.

Taarifa zaidi kuhusu kikao hiki zinatarajiwa kutolewa na msemaji wa chama baada ya mkutano huo. Endelea kufuatilia Kurasa zetu kwenye Mitandao ya kijamii
Leave a Reply