Haya hapa matokeo ya darasa la Saba 2025

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika kuanzia Septemba 10, 2025.

Matokeo hayo yametangazwa leo, Jumatano Novemba 5, 2025, na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Profesa Said Ally Mohamed Jijini Dar es Salaam.

Matokeo yanaonesha jumla ya watahiniwa 937,581 sawa na asilimia 81.80 ya watahiniwa 1,146,164 wenye matokeo wamefaulu mtihani huo.

>>BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO

Matokeo ya darasa la saba 2025