Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Amani Golugwa ameeleza kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imefuta amri ya Msajili wa Vyama Vya Siasa ya kuzuia Ruzuku ya Chadema na kutowatambua Katibu Mkuu, Manaibu wake na Wajumbe Watano wa Kamati Kuu waliothibitishwa Januari 22, 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu wa ndani ya Chama.
Mahakama Kuu yafuta amri ya Msajili Kuzuia Ruzuku ya CHADEMA

Leave a Reply