Rapa Kutokea Marekani @travisscott 🇺🇸, ameonekana aki-hype wimbo wa Simba 🦁 @diamondplatnumz “Komasava” Club Usiku Wa Kuamkia Leo Huko Paris, Nchini Ufaransa.
Diamond Ame-Share Video Hii Katika Ukurasa Wake Wa Instagram, Huku Mashabiki Wakidai Kuwa kitendo cha Travis Kuucheza wimbo wake ni uthibitisho wa ubora na ushawishi wa Diamond katika muziki wa Afrika na duniani kwa ujumla.

“They are not ready for What Coming 2025 Gang!! @travisscott 💣🔥” – Diamond Platnumz
Huu ni muendelezo Wa Diamond Kuonesha heshima kwa muziki wa Afrika, na tukio hili linazidi Kuthibitisha Kuwa Diamond Ni mmoja wa wasanii wenye mafanikio makubwa kutoka Afrika. Hivyo Mashabiki wanasubiri kwa hamu kuona Kolabo kati ya Diamond na Travis Scott.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.