Nyota wa Fc Barcelona, Lamine Yamal ameingia kwenye historia za vitabu vya ligi kuu Uhispania LALIGA kuwa mchezaji mwenye umri mdogo kufikisha mechi 100.
Lamine ameweka rekodi hiyo kwenye mechi ya leo dhidi ya Espanyol huku akiisaidia timu yake kupata ushindi wa bao 4-1.
Lamine anaandika historia hiyo huku akiwa na mchango wa magoli na pasi za magoli ishirini na tano msimu huu pekee.











Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.