Zungu ashinda uspika wa Bunge

Mbunge Mteule wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu amechaguliwa na Wabunge kuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa kupigiwa kura 378.

Uchaguzi huo umefanyika Leo Nov 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma kwenye Bunge la 13.