MWALIMU APIGWA NA RISASI ZA GLORI SINGIDA POLISI YAANZISHA MSAKO MKALI.*

Jeshi la Polisi Mkoani Singida Linaendelea na Msako Mkali kumtafuta au Kuwatafuta watu waliomjeruhi kwa Vitu Vinavyodhaniwa kuwa ni Risasi za Glori Mwalimu wa Shule ya Msingi Nyaranga kata ya Mwesi Wilayani Manyoni Mkoani Singida.

Katika Taarifa yake kwa Wanahabari Mkoani Singida Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Humo ACP Mayunga Raphael Amesema Mwalimu huyo anayefahamika kwa jina la Bayo Awah Isalah (35) aliviziwa na watuhumiwa mlangoni akiwa anatoka ndani ili kuangalia watu walioko nje baada ya kusikia sauti zao.

Amesema Baada ya Mwalimu huyo Kutoka Mlangoni alipigwa na Glori Tumboni.

Cc @irundetz
#WasafiDigital