Kwa Mujibu Wa Ripoti Mbalimbali, Rapa Wa Marekani @6ix9ine Amekiri kosa la kumiliki dawa za kulevya baada ya polisi kuvamia nyumba yake mjini Miami mwezi Machi. Tekashi Amedai Ni Kweli kuwa alikuwa na cocaine na MDMA, jambo ambalo limekiuka masharti ya probation (Uangalizi Wa Kifungo Cha Nje) aliyowekewa kufuatia kesi ya awali ya genge la Nine Trey mwaka 2018.
Hukumu yake rasmi inatarajiwa kutolewa mwezi Septemba. Hii inaweza kumletea matatizo zaidi kutokana na historia yake ya makosa ya jinai.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.