Tyga Kuikimbia Marekani Kisa Janga La Moto Los Angeles

Rapa Wa Marekani @tyga Alilazimika Kumaliza “LiveStream” Baada Ya Kutakiwa Kuhama Na Familia Yake Kisa Moto Uliokuwa Ukikaribia Makazi Yake Ya Los Angeles.

Licha Ya #Tyga Kuambiwa Aondoke Los Angeles Na Kutafuta Mji Mwingine , Lakini Yeye Amechukua Uamuzi Wa Kuondoka Kabisa Nchini Humo Mpaka Pale Janga La Moto Litakapoisha. Jumba La Tyga L.A Linatajwa Kuwa Na Thamani Ya $10M (Tsh BILIONI 25/=).

https://www.instagram.com/p/DEwltgPiBFl/?igsh=MXB3aGdnNjB5ejJheg==

Mastaa Wengine Ambao Wamepoteza Nyumba Zao Los Angeles Ni; Jhene Aiko, Paris Hilton, Milo Ventimiglia, Tina Knowles Na Wengine Kibao.