Maafisa wa China wameripotiwa kujadili uwezekano wa Elon Musk kuchukua jukumu la kuendesha operesheni za TikTok nchini Marekani endapo Mahakama ya Juu haitasitisha marufuku inayokaribia.
Mustakabali wa programu hiyo unakabiliwa na maswali ya usalama wa taifa, huku sheria ikitaka aidha kuzwa kwa tawi lake la Marekani au kusitisha shughuli zake nchini humo kufikia Januari 19.
Wakati huo huo, Rais Mteule Donald Trump amependekeza suluhisho la kisiasa ambalo linaweza kuiepusha TikTok na kufungwa moja kwa moja.
TikTok imejibu madai haya na kuyaita kuwa ni ‘Uongo Mtupu’.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.