Msanii Wa Nigeria, #Davido, Ameonesha Kutokuwa Na Furaha baada ya kupoteza pete yake aliyokuwa akiipenda sana yenye thamani ya Naira milioni 25.5 ( Usd 16.4K – Tsh Milioni 41.3/=). Tukio hilo lilitokea wakati wa safari yake ya hivi karibuni nchini Jamaica.
Kwa mujibu wa ripoti, Davido alikuwa akifurahia muda wake katika bahari ya Carribean Ndipo Aligundua kuwa pete Yake ilikuwa Imepotea Baharini.

Davido Tayari Ameomba Kutengenezewa Nyingine Kali Zaidi Ya Pete Hiyo, ambayo ni moja ya vito vya gharama kubwa alivyonavyo. Inaelezwa Kuwa pete hiyo ilikuwa na thamani ya kihisia kwake, mbali na gharama yake kubwa ya kifedha.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.