Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la Msingi katika Mradi wa Umwagiliaji wenye Hekta 24 uliopo Mkolazi wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga uliokwama kwa Miaka 60.
Mradi huo unatajia kuhudumia walulima zaidi ya 20,000 kutoka katika Kata Saba (07) na Vijiji 29.
Gharama za Mradi huo ni Bilioni 97, ambapo Bwawa hilo la Mkomazi litakuwa moja ya Mabwawa makubwa Tanzania.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi wamemsifu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi huo, kwamba utasaidia kukuza kilimo na kuwainua kiuchumi.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.