Wimbo Wa Ayra Starr “Commas” Wafikisha Streams Milioni 100 Spotify.

Wimbo Wa Muimbaji Wa Nigeria @ayrastarr ‘Commas’, umefikia hatua nyingine kubwa kwa kufikisha zaidi ya Streams milioni 100 Spotify!,

Ayra Starr Anafikia Hatua Hii Ikiwa Ni Wiki 2 Tu Kupita Kufanikiwa Kufikisha Jumla Ya Views (Watazamaji) Milioni 100 Katika Mtandao Wa Youtube. 🚀🎶

Ngoma Hii Ambayo Iliachiwa Rasmi Februari 2, Mwaka Jana 2024 Inaendelea Kufanya Vizuri Kwenye Platforms Mbalimbali Za Kusikiliza Muziki.