Diamond Kutambulisha Msanii Mpya WCB Wasafi.

CEO Wa Label Ya #WcbWasafi SIMBA 🦁 @diamondplatnumz Amethibitisha Kusaini Msanii Mpya Chini Ya Label Yake Hiyo.

Diamond Kupitia IG Story Yake Ame-Share Picha Ya Mkataba Ukionesha Kuwa Amemsaini Msanii Mpya Na Kuandika ā€œA New Icon Is Coming ā€¦ā€

Hii Ni Baada Ya Hivi Karibuni Kutangaza Kusaini Wasanii Wapya Katika Label Hiyo Kubwa Barani Africa. Kwasasa Label Hii Ina Wasanii Watatu (Lavalava, Zuchu & D Voice).

JE, Unadhani Atakuwa Nani Huyo ?