D Voice Akutana Na Hitmaker Wa ‘Ginger’ L.A.X Nigeria.

Msanii Kutoka Label Ya #WcbWasafi @itsdvoice Ameianza Safari Yake Ya Kutaka Kuipeleka Singeli Kimataifa, Kwani Amekutana Na Muimbaji Wa Nigeria @izzlax 🇳🇬 Ambaye Ni Hitmaker Wa ‘Ginger’, ‘Sempe’ Na Zingine Kibao.

Dvoice Ame-Share Video Hii Ikiwaonesha Walivyokutana Huko Mjini Lagos, Nchini Nigeria Hivi Karibuni. Hii Ni Hatua Kubwa Kwa D Voice Akiendelea Kutanua Wigo Wake Katika Soko La Muziki Wa Kimataifa.

Hivyo Tegemea Kolabo Kutoka Kwa D Voice Na Mkali Huyu Wa Afrobeat ‘L.A.X’ Muda Wowote Kuanzia Hivi Sasa.