Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania.
Mheshimiwa Masaju anachukua nafasi ya Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.
Uapisho wa Jaji Mkuu utafanyika tarehe 15 Juni, 2025 Ikulu, Chamwino Dodoma kuanzia saa 4.00 asubuhi.
Leave a Reply