Unaambiwa Mchezaji Stefon Diggs Ameamua Kuonesha Mahaba Mazito! Kwani Amempeleka Mpenzi Wake Rapa @iamcardib Vacation Na Kuhakikisha Anaishi Maisha Ya Kifahari Kama Malkia Kwa Kumkodishia Jumba La Kifalme (Kasri) Jijini Paris, Ufaransa.
Kasri hilo la kifahari linadaiwa kuwa ni moja ya majengo ya kihistoria, lenye mandhari ya kuvutia na huduma Bora Za Kifalme/ Malkia. Cardi Amethibitisha Hilo Kwa Ku-Share Video Fupi Katika IG Story Yake.
Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu, Diggs alitaka kumpa Cardi B “the full queen treatment” yaani huduma kamili kama za kifalme, ikiwa ni pamoja na mapokezi ya kifahari, vyakula, na mandhari ya kipekee Yenye Kuvutia Zaidi Huko Paris.
JE, Wewe Mpenzi Wako Utampeleka Vacation Wapi ⁉️
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.