Star wa muziki Africa 🦁 @diamondplatnumz Ametangaza Kolabo Nyingine Na O.B.O @davido 🇳🇬 Ambayo Itatoka Hivi Karibuni.
Diamond Amethibitisha Hilo Wakati Akizungumza Na Mashabiki Zake Jana Kwenye Session Na Dj Wa UK @djagonline Mitaa Ya King Cross Jijini London.
“Nimetoka Kuzungumza Na Davido Jana Tu, Lakini Pia Leo… Unajua Mimi Na Davido Tuna Ngoma Nyingine Ambayo Itatoka Hivi Karibuni, Hivyo Nafuraha Sana … Wakati Nikiendelea Kuifanyia Kazi Album Yangu Mpya Itakayotoka Hivi Karibuni” – Diamond .
Diamond Na Davido Ni Wakali Wa Hitsong ‘My Number One’ Remix Iliyotoka Zaidi Ya Miaka 10 Iliyopita.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.