Drake Ampiku Kendrick Lamar Spotify

Drake Kwa Sasa Ndio Rapa Anayesikilizwa Zaidi Kwa Mwezi Katika Mtandao Wa Spotify Akimpiga Chini Mpinzani Wake Kendrick Lamar.

Hadi Sasa Drake Amefikisha Wasikizaji Kwa Mwezi 80,653,323 Wakati Kendrick Lamar 80,622,895 Wakipishana kwa 30,428 Tu.