Davido amnunulia Saa Mkewe Yenye thamani Ya Zaidi Ya Tsh Milioni 744/=.

Msanii O.B.O @davido Amemzawadia Mkewe Saa Aina Ya Richard Mille Inyokadiriwa Kuwa Thamani Yake Ni Kiasi Cha Naira Milioni 465/ $300K ambazo ni sawa na Tsh Milioni 744/=.

Ni Kutoka Miami, Nchini Marekani Ikiwa Ni Siku Ya 3 Ya Muendelezo Wa White Wedding Ya #Davido Na Mkewe @thechefchi #Chioma.