CCM yachangisha Bilioni 86 maandalizi ya uchaguzi mkuu

Chama cha Mapinduzi CCM kimefanikisha kuchangisha Fedha kiasi cha Shilingi Billioni 86.3 kwa ajili ya kampeni za CCM za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, katika Harambee iliyofanyika Katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar Es Salaam.leo 12 Agosti 2025

kati ya kiasi hicho Shilingi Bilioni 56.3 ni fedha taslimu na Shilingi Bilioni 30 ni ahadi.

Malengo ya CCM ni kukusanya Shilingi Bilioni 100 .