Rapa Wa Marekani ‘Playboi Carti’ Amesikika Akisema Kuwa Yeye Ndio Rapa Bora kwa Sasa.
Utakumbuka Kuwa album tofauti za muziki wa rap zilizotoka mwaka 2025, mpaka sasa album zaidi ya 100, Album ya Playboi Carti ‘IAM MUSIC’ ndio album ya kwanza mwaka 2025 kuuza kopi milioni 1, Album ilitoka March mwaka huu ikiwa na majina makubwa kama Travis Scott, the Weeknd, Kendrick Lamar, Jhené Aiko, Skepta, Future, Lil Uzi Vert, Ty Dolla Sign na Young Thug, RIAA wamethibitisha kuwa ni Platinum Album.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.