Msanii wa muziki nchini @yammitz anatarajiwa kuachia EP yake mpya iitwayo “After All” siku ya Ijumaa tarehe 22 Agosti 2025, saa sita usiku.

EP Hii inatarajiwa kuwa miongoni mwa project Kubwa mwaka huu kutoka Kwa msanii huyo. Kupitia Ukurasa Wake Wa Instaram Ameandika;
“AFTER ALL Ep Cover | THIS FRIDAY | 22.08.2025
Midnight 12:00am🧭 #AfterAll” – Yammi
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.