Kwa mujibu wa mama wa Priscy, Iyabo Ojo, msanii @juma_jux na mkewe @its.priscy wamebarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume, aliyepewa jina la Rakeem Mkambala.

Habari hii njema imeongeza furaha kubwa kwa familia hii ambayo imekuwa ikifuatiliwa sana tangu harusi yao ya kifahari ya #JP2025. Jux & Priscy Sasa Ni Rasmi Wameanza Ukurasa Mpya Wa Maisha kama wazazi.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.