Drake Anunua Album Iliyosainiwa Na Michael Jackson ‘Thriller’.

Baada Ya Kununua Cheni Ya Marehemu #Tupac, Drake Pia Ameripotiwa Kununua albam ya Michael Jackson “Thrille”, ambayo imesainiwa na watu wawili Tu, Ambao Ni Marehemu Michael Jackson mwenyewe na mtayarishaji maarufu “Quincy Jones”. (Kwa Mujibu Wa Alexander Bitar).

Album hii inayotajwa kama bora zaidi ya muda wote, inabaki kuwa hazina ya kipekee katika historia ya muziki duniani.

Album Ya Thriller Yenye Saini Ya MJ Na Quincy Jones Tu.