INEC yamteua Dkt. Samia kugombea Urais Kupitia CCM



Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema tume hiyo imemteua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho pamoja na Dkt. Emmanuel Nchimbi katika nafasi ya Makamu wa Rais.

Jaji Mwambegele ameyasema hayo Leo Agost 27,2025 ofisi ya Tume uhuru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) Njedegwa Jijini Dodoma baada ya kuzipokea na kuzikagua fomu za wagombea hao ambapo amesema Tume imejiridhisha kuwa wamekidhi vigezo