Tupac Aliandika Barua Ya Kumuacha Madonna 1995

Mwaka 1995, Tupac akiwa jela alimuandikia barua Madonna kwa lengo la kumuacha rasmi na kuvunja uhusiano wao wa kimapenzi.

Tupac aliandika barua hiyo January 15, 1995 saa 3:30 asubuhi na alieleza sababu ya kumuacha Madonna ni kwa sababu ni “Mweupe” hivyo angeharibu maisha yake ya muziki.

Barua Ya Tupac Kwa Madonna
Barua Ya Tupac Kwa Madonna