Bad Bunny Kutumbuiza Super Bowl Lx 2026.

Msanii Wa Puerto Rico @badbunnypr Ametangazwa Rasmi Kuwa Atatumbuiza Katika Fainali Za Superbowl LX Halftime Show Feb 08, 2026, Katika Uwanja Wa Levi Uliopo Santa Clara Jijini California.

Kumbuka Kuwa Feb Mwaka Huu, K-Dot @kendricklamar Alicha Historia Katika Halftime Show Ya Fainal Ya Superbowl Huko Jijini New Orleans.

JE, Ulitarajia Kusikia Msanii Gani Atatangazwa Kutumbuiza Kwenye Superbowl 2026 ⁉️