Msanii nyota kutoka Burundi, Sat-B, amerudi tena na kazi mpya yenye jina “Machine”, chini ya lebo ya Empire Avenue. Ngoma hii imetayarishwa na Franklin StreetBeat, ambaye amehakikisha mdundo unachanganya ladha ya Afrobeat na Bongo Flava kwa ustadi mkubwa.
“Machine” inakuja ikiwa ni mwendelezo wa ubunifu wa Sat-B katika kutengeneza muziki unaochanganya hisia, sauti tamu, na ujumbe wa mapenzi. Wimbo huu unatarajiwa kufanya vizuri kwenye majukwaa ya muziki Afrika Mashariki na zaidi.

Mashabiki tayari wameanza kuonyesha shauku kubwa kupitia mitandao ya kijamii, wakisifia ubora wa sauti na video yenye mvuto mkubwa.
🔥 Sat-B – “Machine” (Produced by Franklin StreetBeat)
#SatB #Machine #EmpireAvenue #NewMusic #BurundiMusic















Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.