Asake Aanzisha Biashara Yake Ya Bangi Marekani .

Msanii Wa Nigeria @asakemusic Ameibua Mijadala Mtandaoni Baada Ya Kuanzisha Biashara Yake Ya Bangi Mjini California, Marekani Iitwayo “Giran Energy 5K”.

Asake Amethibitisha Hilo Kwa Ku-Share Picha Ya Brand Yakw Hiyo Katika IG Story Yake. Asake Anakuwa Msanii Wa Pili Kutoka Nigeria Baada Ya Burna Boy Ambaye Alianzisha Biashara Ya Bangi “Brkfst” Mwaka 2022

Hii Ni Sehemu ya mipango yake ya kupanua vyanzo vya mapato nje ya muziki.