Basi la abiria la Mbeya City Express lenye namba za usajili T 667 EMK linalofanya safari zake Mbeya – Tanga limepata ajali majira ya jioni leo Agosti 17, 2025 eneo la Mengele Mji wa Chimala Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya.
Mpaka sasa hakuna taarifa kuhusu Madhara ya ajali hiyo ikiwemo chanzo cha ajali, hali ya majeruhi na taarifa za vifo.
Endelea kufuatilia Wasafi Media kwa taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo.

Leave a Reply