Tarajia Album Mpya Kutoka Kwa Msanii Wa HipHop Nchini #MrBurudani @darassacmg255 Aliyoipa Jina La “Take Away The Pain”. ...
Mwanamuziki wa Nigeria, #TiwaSavage, amevunja ukimya kuhusu madai ya muda mrefu kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na ...
Msanii Wa Bongo Fleva Nchini @whozu_ Ameweka Wazi Kutoka Katika Label Ya “Too Much Money” Na Sasa Atajitegemea ...
Universal Music Group imechukua hatua kali dhidi ya kesi ya Drake, ikitafuta kutupiliwa mbali kwa kesi hiyo iliyofunguliwa ...
Justin na Hailey Bieber wanazidi kuishi vyema licha ya uvumi wa kuachana ambao umeendelea kuwaandama. Inasemekana kuwa wanandoa ...
Rapa Kutokea Marekani @travisscott 🇺🇸, ameonekana aki-hype wimbo wa Simba 🦁 @diamondplatnumz “Komasava” Club Usiku Wa Kuamkia Leo ...
Kwa mujibu wa Erin Venture Services, Rapa Na Mfanyabiashara Kanye West (@ye), ameripotiwa kuwa mwanamuziki tajiri zaidi duniani ...
Kupitia Twitter (X) Msanii Wa Nigeria @mreazi 🇳🇬 ameandika ujumbe wa kumkubali SIMBA 🦁 @diamondplatnumz na kumnyooshea mikono ...
A$ap Rocky Akataa Ofa Ya Kukira Kosa La Jinai Linalomkabili La Kumshambulia Rafiki Yake Kwa Silaha .
A$AP Rocky amekataa ofa ya makubaliano ya kukiri kosa Ili Kupunguziwa Adhabu Ya Kifungo Katika shtaka la jinai ...
Chris Brown Hacheki Yeyote! Kwani Amewashtaki Watayarishaji Waliopanga Kuachia Documentary Ya Unyanyasaji Wake Iliyopewa Jina La “Chris Brown: ...