Ndege ya Air India iliyokuwa ikielekea London ikiwa na abiria 242 imeanguka dakika chache baada ya kuruka kutoka ...
Watu tisa wamefariki dunia na wengine 44 kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Hai Express lenye ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo, amekiahiza Chuo Kikuu cha Dar es ...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuongeza vyumba vya upasuaji katika Taasisi ya Moyo na Mifupa (MOI) ili ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku na Mahakama Kuu ya Tanzania kufanya shughuli zozote za kiutendaji ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua mwezi wa Elimu na Kutatua Changamoto za Walipakodi ili kuendelea kuwahudumia kwa ...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inawaamini na inathamini mchango wa viongozi wa dini ...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amewaonya waajiriwa wapya wa TRA kutojihusisha ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafunga makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, ...









