Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kutokea kwa kifo cha EmmanuelMathias Matebe maarufu kama MC Pilipili mkazi ...

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka watumishi wa Sekta ya Maji nchini kuthibitisha imani ya Rais ...

Mabaki ya mwili wa Kijana Joshua Mollel aliyeuwawa nchini Israel na wapiganaji wa HAMAS Oktoba 07, 2023 yamewasili ...

Mkurugenzi wa Makampuni ya Wasafi Media, Wasafibet na WCB Wasafi, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) amehudhuria Bungeni kushuhudia uapisho ...

Mbunge Mteule wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu amechaguliwa na Wabunge kuwa spika wa Bunge la ...

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika kuanzia Septemba 10, ...

Chama cha Mapinduzi CCM kupitia kikao chake cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri kuu imempitisha ndugu Asha Hussein ...

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kusini, Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa mapacha wawili Daniel Stephen Seif(Kurwa) (24) ...

Jeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya ...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kupokea kwa masikitiko makubwa taarifa ...