Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, amefafanua kuwa JKT halilengi kuwafundisha vijana mafunzo ...

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Sheria za Nchi haziendi likizo wakati wa ...

MKUU wa Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Festo Kiswaga ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo ...

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi, amejiunga rasmi na ...

Kesi ya Rufaa inayowakabili warufani wanne, wakiwemo askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na ...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka halmashauri zote hapa nchi kufanya jitihada za makusudi kupunguza uzalishaji wa taka kwenye ...

Uwiano wa madaktari bingwa nchini Tanzania umeimarika kwa kiasi kikubwa, huku daktari mmoja bingwa akihudumia wagonjwa 4,000 kwa ...

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt. Charles Kitima ameongoza Adhimisho la Misa Takatifu ...

Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel R. M. Kihampa, amefuta usajili wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania ...

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ...