Serikali ya Tanzania imesisitiza azma yake ya kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya watumishi wa umma ambao ...

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameeleza kwamba hajawahi kutoa Maelekezo kwa Mtu, Kikundi ama Taasisi yoyote isilipe kodi ...

Serikali imeagiza kuwa zoezi la ulipaji fidia ya sh, bilioni 6.2 kati ya sh, bilioni 14.48 kwa Wananchi ...

Watafiti kutoka mataifa 55 ulimwenguni wamekutana jijiji Arusha kujadili ulinzi na usalama wa vimelea lengo likiwa ni kulinda ...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum ...

Kijana aliyefahamika kwa jina la Musa Solea (39) mkazi wa Kitongoji na kata ya Talaga wilayani Kishapu Mkoani ...

Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza leo limetangaza kuyafuta matokeo yote ya watahiniwa 67 waliobainika kufanya Udanganyifu, ambapo ...

Baraza la Mitihani la Taifa la Tanzania (NECTA) limetangaza kwamba Matokeo ya Kidato cha Nne 2024, yanayojulikana pia ...

Katika uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ametangazwa mshindi wa nafasi ya ...

Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 521 katika kipindi cha Julai 1, 2024, hadi Desemba 31, 2024. ...