MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema wakati wanamuombea kura mgombea urais kwa ...

Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais kupitia CCM, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amesema katika kipindi cha Miaka mitano ...

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za kuwepo Kwa kontena la silaha Akizungumza na Waandishi wa ...

Wakulima wa Kijiji cha Lionja B, Kata ya Lionja, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamelalamikia vitendo vya ukatili ...

Wanyamapori Watatu Aina ya Tembo Wamevamia Makazi ya Wananchi wa Kata ya Unyianga Mkoani Singida na Kuzua Hofu ...

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla leo Ijumaa Agosti 29, 2025 ameeleza kuwa katika ...

Jamii ya Wahadzabe, waokota matunda na wala nyama wanaoishi katika mikoa ya Arusha, Manyara, Singida na Simiyu, wamepaza ...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa ...

Chama cha ACT Wazalendo kupitia Tawi la Mafifi, kata ya Kihesa mkoani Iringa, kimemvua rasmi uanachama Monalisa Joseph ...

Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi limethibitisha kutokea kwa vifo kumi vya watoto wadogo vilivyotokana na ajali za ...