Timu ya Taifa ya Tanzania @taifastars_ chini ya Kocha @miguelgamondi imetinga hatua ya mtoano (16 bora) katika michuano ...

Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amesema hatastaafu kucheza soka hadi atakapofanikisha lengo lake la ...

Mlinda mlango chipukizi Cheikh Touré (18) kutoka Senegal ameuawa kikatili nchini Ghana baada ya kutekwa na kundi la ...

Kocha wa Bayern Munich, Vincent Kompany, ameongeza rasmi mkataba wake na klabu hiyo ya Bundesliga hadi Juni 2029. ...

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhiwa rasmi umiliki wa timu ya Tabora United na kuibadilisha jina kuwa TRA ...

Kocha, Erik ten Hag ametimuliwa na klabu ya Bayer Leverkusen, uamuzi uliothibitishwa rasmi leo baada ya ripoti zilizokuwa ...

Manchester, Uingereza  Klabu ndogo ya Grimsby Town inayoshiriki ligi daraja la nne nchini Uingereza, imeandika historia baada ya ...

Milan, Italia  Klabu ya AC Milan imepiga hatua kubwa katika usajili wa mshambuliaji wa Kifaransa, Christopher Nkunku, baada ...

Mlinzi wa kimataifa wa Ecuador, Piero Hincapié, amekubaliana na Arsenal na kufikia makubaliano ya masharti binafsi kwa ajili ...

Klabu ya Napoli ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Denmark, Rasmus Højlund, akitokea Manchester ...