Daftari La Marehemu Xxxtentacion 2015

Daftari Binafsi La Marehemu Rapa #Xxxtentacion Limeonakana Kusambaa Tena Mtandaoni, Huku Timu Yake Ikionekana Kuthibitisha Kuwa Ni Kweli Hilo Daftari Ni La Tentacion… Kwa Kuacha Comment iliyosomeka ‘It’s Real’.

Xxxtentacion Alikuwa Akitumia Daftari Hilo Kuandika Mashairi Pamoja Na Mipango Yake Binafsi.