Davido Asaini Msanii Mpya Kwenye Label Yake Ya ‘DMW’.

Muimbaji Wa Nigeria #Davido Rasmi Amesaini Msanii Mpya Katika Label Yake Ya “DMW”.

Kwenye Video Iliyoachiwa Na Ukurasa Wa Label Hiyo, Imemuonesha Msanii Huyo Mpya ‘Boi Chase Akiwa Na Mama Yake Pamoja Na Davido Na Timu Yake Wakifanya Kikao Cha Kukamilisha Kusaini Mikataba Huku Wakipata Chakula Cha Usiku Pamoja.

Tayari Label Ya DMW Inawasanii Kama; Logos Olori, Morravey, Huku Waliowahi Kuwa Chini Ya Label Hiyo Na Kuondoka Ni; Mayorkun, Dremo, Liya, Lil Frosh N.k.