Davido atamba na lamborghini Mpya

Nyota Wa Muziki Kutokea Nchini Nigeria #Davido Amenunua Gari Jipya La Kifahari Aina Ya ‘Lamborghini Revuelto’. Davido Ameripotiwa Kununua Gari Hilo Kwa Thamani Ya Zaidi Ya Dola Milioni 1 Ambazo Ni Sawa Na Tsh Bilioni 2.6/=. (Swipe)

Davido Anamiliki Usafiri Mwingine Wa Kifahari Kama Vile

: Private Jet ‘Global Bombardier 7500’ – Tsh Bilioni 200/=

: 2024 Rolls-Royce Spectre ($420K) – Tsh Bilioni 1/=

: 2024 Cadillac Escalade ($81.8K) – Tsh Milioni 213/=

: 2025 Rolls-Royce Phantom ($515K) – Tsh Bilioni 1.3/=