Dogo Rema Aachia Ep Yake Ya Kwanza ‘Mtu Siye Nyau’.

Msanii @dogo_rema255 Ameianza Vizuri Safari Yake Ya Muziki, Baada Ya Wimbo Wake ‘My Everything Kufanya Vizuri, Sasa Ni Rasmi Ameachia Ep Yake Ya Kwanza Iitwayo ‘Mtu Sie Nyau’.

Ep Hii Mpya Ina Ngoma Tatu (3) Kali Kama Vile; Inatokeaga, See You Pamoja Na Weekend Ambazo Tayari Zipo Kwenye Platforms Za Kusikiliza Muziki.

Ukiachilia Mbali Hilo Pia #DogoRema Anatarajia Kutumbuiza Kwenye Pre-Party La #NBCDodomaMarathon Siku Ya Kesho Jumamosi (Julai 26) Pale #BambaLaga Bar Kwa Kiingilio Cha Tsh 10,000/= Tu.

JE, Wimbo Wimbo Upi Umeusikiliza Zaidi Kwenye Ep Hii ⁉️