Elon Musk Sasa Ni Baba Wa Watoto 14.

Elon Musk sasa ni baba wa watoto 14, kwa mujibu wa Shivon Zillis (39), kupitia twitter [X] amethibitisha kuwa amejifungua mtoto wa 14 wa bilionea, mmiliki wa X “Elon Musk”. Hivyo Huyu Anakuwa Mtoto Wao Wa Nne (4) Pamoja.

Hivi Karibuni Zilitoka Taarifa Za Musk Kubarikiwa Kupata Mtoto Wake Wa 13, Ambapo Baby Mama Wake Ashley St Clair (26), Aliweka Wazi Kuwa Amejifungua Mtoto Wa 13 Wa Musk miezi mitano iliyopita, Akidai Kuwa “niliweka taarifa hizi siri sababu ya kumlinda mtoto wangu

Picha Ya Shivon Zillis Na Elon Musk