Diwani Mstaafu wa Kata ya Tengelea Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani Ndg. Shabani Manda awafuturisha Viongozi mbalimbali katika Iftar iliyoambatana na Dua Maalum ya kuwaombea Wazee wote waliyotangulia mbele ya haki wa Kata ya Tengelea pamoja na kuliombea Amani Taifa pamoja na kumtakia heri nyingi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

Viongozi waliyohudhuria Iftar hiyo ni pamoja na Mhe.Hamza Mahanaka Diwani mwenyeji wa Kata ya Mkuranga, Ndg.Tatu Mkumba Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kibiti, Suda Pazi Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Mkuranga, Mhe. Tatu Mpeki na Husna Mbata Madiwani Viti Maalum Wilaya ya Mkuranga pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti.













Leave a Reply